

Lugha Nyingine
Mkutano na Waandishi wa Habari wa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China kufanyika Tarehe 3, Machi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2023
Mkutano na Waandishi wa Habari wa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China utafanyika leo saa 10:30 Jioni Tarehe 3, Machi Ijumaa (kwa saa za Beijing) kwenye ukumbi wa habari ulioko ghorofa ya kwanza ya Jumba la Mikutano ya Umma, ambapo msemaji wa mkutano huo Guo Weimin atajulisha hali ya mkutano huo kwa waandishi wa habari wa China na wa nchi mbalimbali na kujibu maswali yao.
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na tovuti ya Xinhua zitatangaza moja kwa moja hali ya mkutano huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma