Mageuzi ya vyombo vya Baraza la Serikali la China ni hatua muhimu ya kutawala nchi kwa njia ya kisasa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2023

Mageuzi ya vyombo vya baraza la serikali la China ni hatua muhimu ya kuongeza uwezo wa utawala na kuinua ufanisi katika mazingira ya dunia yenye utatanishi, na inalenga kukamilisha majukumu mapya ya kujenga nchi ya kijamaa ya kisasa

Mpango wa mageuzi ya vyombo vya baraza la serikali la China unaofikishwa ili kuthibitishwa kwenye mkutano wa Bunge la Umma la 14 la China unaweka mkazo katika kuondoa matatizo magumu yanayofuatiliwa na watu , na yataleta ushawishi mkubwa kwa maendeleo ya jamii na uchumi ya China.

Mageuzi hayo yanasisitiza sekta mbalimbali muhimu za ujenzi wa mambo ya kisasa wa China, kama vile sayansi na teknolojia, usimamizi wa mambo ya fedha, usimamizi wa data, ustawishaji wa vijiji, hakimiliki ya ubunifu na huduma za utunzaji wa wazee.  

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha