

Lugha Nyingine
Habari picha: Watu wakitembelea wakati wa mapumziko ya Siku ya Qingming ya China
Watalii wakitembelea Mapango ya Longmen huko Luoyang, Mkoa wa Henan katikati mwa China, Aprili 5, 2023. Watu wametoka nje kutembelea katika hali ya majira ya mchipuko wakati wa mapumziko ya Siku ya Qingming, ambayo ni siku ya jadi ya kusafisha makaburi nchini China, siku ya Jumatano (Picha na Zhang Yixi/ Xinhua)
Picha hii iliyopigwa Tarehe 5 Aprili 2023 ikionyesha watu wanaotembelea Bustani ya Zhuozhengyuan katika Mji wa Suzhou, Mkoa wa Jiangsu nchini China. (Xinhua/Li Bo)
Watoto wakicheza katikati ya maua katika Wilaya ya Yuechi ya Mji wa Guang'an mkoani Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Aprili 5, 2023. (Picha na Zhang Qifu/Xinhua)
Picha hii iliyopigwa Tarehe 5 Aprili 2023 ikionyesha watalii wanaotembelea Ziwa Shouxi huko Yangzhou, Mkoa wa Jiangsu nchini China. (Picha na Meng Delong/Xinhua)
Mtalii akipiga picha kwenye mtaa wa kihistoria wa Pingjiang mjini Suzhou, Mkoa wa Jiangsu,China, Aprili 5, 2023. (Xinhua/Liu Wenhui)
Watalii wakitembelea mtaa wa kihistoria wa Pingjiang mjini Suzhou, China, Aprili 5, 2023. (Xinhua/Li Bo)
Watalii wakitembelea Bustani ya Zhuozhengyuan katika Mji wa Suzhou, China. (Xinhua/Liu Wenhui)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma