China na DRC zainua ushirikiano kati yao na kuwa ushirikiano wa kimkakati

(CRI Online) Mei 29, 2023

Marais wa China na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tarehe 26 hapa Beijing wametangaza kuinua uhusiano kati ya nchi zao, kutoka ushirikiano wa kunufaishana na kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha