

Lugha Nyingine
Anza safari ya kitalii ya maajabu katika Mji wa Cangzhou, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2023
Kipindi kijacho cha "Hadithi za Miji" kitakusafirisha hadi Cangzhou, mji maarufu katika Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China ambao unastawi kwenye mfumo wake wa mifereji.
Siyo tu kwamba Cangzhou inajulikana kama mahali pa kuzaliwa kwa aina mbali mbali za sanaa ya Kung Fu na sarakasi za China, na kitovu cha ufundi wa vioo vyenye ubora wa juu, bali pia ni nyumbani kwa Bandari ya Huanghua, ambayo ilihudumia kimaajabu bidhaa zenye uzito wa tani milioni 315 Mwaka 2022.
Jitayarishe kwa safari isiyoweza kusahaulika tunapochunguza maajabu ya Cangzhou!
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma