Vikundi vya uokoaji wa dharura vinafanya kazi ya uokoaji na kutoa msaada mkoani Heilongjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2023

Wazima moto wakiwa na mashine karibu na Kijiji cha Dawan Wilaya ya Dong'an, Mudanjiang, Mkoa wa Heilongjiang kaskazini-mashariki mwa China, Agosti 5, 2023.

Wazima moto wakiwa na mashine karibu na Kijiji cha Dawan Wilaya ya Dong'an, Mudanjiang, Mkoa wa Heilongjiang kaskazini-mashariki mwa China, Agosti 5, 2023.

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika mji wa Mudanjiang na mji wa Harbin, kiwango cha maji katika baadhi ya mito ya miji hiyo kimezidi kiwango cha tahadhari. Vikosi vya uokoaji wa dharura wakiwemo wazima moto wa ndani na wazima moto wa msituni, wametumwa kwenda kusaidia kazi ya uokoaji na utoaji wa msaada. Doria ya saa 24 kwenye kingo za mto zinafanywa ili kudhibiti hatari, na wakazi walioathiriwa na mafuriko wamehamishwa toka kwenye maeneo yao. (Xinhua/Zhang Tao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha