Video ya Siku ya Watu Wote Kujenga Mwili ya China: Soka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 08, 2023

Kuanzia mwaka 2009, serikali ya China imeamua siku ya Agosti 8 ya kila mwaka kuwa Siku ya Watu Wote Kujenga Mwili, ili kuhimiza watu kushiriki kwenye michezo na kuongeza sifa nzuri ya afya. Leo ni siku ya 15 ya China ya Watu Wote Kujenga Mwili, ili kuadhimisha siku hiyo, mtaalamu wa kigeni wa Tovuti ya Gazeti la Umma Kiswahili Bw. Aris alicheza mchezo wa soka pamoja na marafiki zake hapa Beijing. Tazama video na kusikiliza simulizi yake kuhusu soka na urafiki, na hebu tushiriki kwenye michezo pamoja na watu wengine duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha