Habari ya Picha: Mandhari Nzuri ya Mbuga ya Milimani huko Yunnan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 08, 2023
Habari ya Picha: Mandhari Nzuri ya Mbuga ya Milimani huko Yunnan, China
Picha ikionesha mandhari nzuri ya mbuga ya milimani ya Gulongba katika Mji Mdogo wa Binju wa Wilaya ya Binchuan, Mkoa wa Yunnan wa China. (Picha/Zhao Qingling)

Katika mbuga ya milimani ya Wulongba ya Mji Mdogo wa Binju, Wilaya ya Binchuan ya Mkoa wa Sichuan wa China, jenereta za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo zinazunguka chini ya anga buluu, huku ng'ombe na kondoo wakila kwenye malisho huko. Mandhari hiyo ni nzuri kama ilivyosimuliwa kwenye mashairi.

Katika majira ya joto, hali ya hewa kwenye Mbuga ya milimani ya Wulongba si joto, sehemu hiyo yenye mandhari nzuri na wanyama na mimea ya aina mbalimbali imekuwa kivutio cha utalii kinachopendwa zaidi wakati wa likizo kwa watu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha