

Lugha Nyingine
Maelfu ya kampuni zafungwa kufuatia hali ngumu nchini Kenya
(CRI Online) Agosti 15, 2023
Kampuni 9,441 zilizosajiliwa zimefungwa rasmi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita huku idadi kubwa zikilazimika kusitisha shughuli zake kutokana na nyakati ngumu pamoja na mazingira magumu ya kuendesha biashara.
Hata hivyo, baadhi ya kampuni zilikuwa zenye lengo la kufanya biashara za muda mfupi tu zilizoanzishwa kwa kusudi fulani kama vile kushindania zabuni za mamilioni na kisha kufungasha virago baada ya kutimiza kusudi zake.
Takwimu kutoka Idara ya Usajili wa Biashara ya Kenya (BRS) zinaashiria kuwa mashirika 2,030 yalifutiliwa mbali na Msajili wa Kampuni kwenye bajeti iliyokamilika 2022/23 idadi iliyoongezeka kutoka kwenye kampuni 2,189 zilizofungwa mwaka uliotangulia.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma