Trela: Tajiriba ya aina yake ya majira ya joto katika eneo la Bortala, Mkoa wa Xinjiang, Kaskazini Magharibi mwa China

By Su Yingxiang, Ebulayi, Elena Davydova, Liu Jieyan, Xian Jiangnan, Zhou Yu (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2023

Katika sehemu inayofuata ya "Simulizi za Miji," ya China jiunge na Elena Davydova, mtaalam kutoka Russia wa Gazeti la Mtandaoni la People's Daily, katika safari isiyosahaulika ya majira ya joto kupitia Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wamongolia ya Bortala iliyoko Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini Magharibi mwa China. Ingia katika utamaduni tajiri, vyakula vitamu, tasnia inayostawi, na mandhari nzuri ya mkoa huo. Karibu kwenye ardhi hii ya ajabu ya kuvutia!

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha