

Lugha Nyingine
Rais wa China kuhudhuria ufunguzi wa Michezo ya 19 ya Asia
(CRI Online) Septemba 22, 2023
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bi. Hua Chunying, amesema Rais Xi Jinping wa China atahudhuria hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 19 ya Asia itakayofanyika Septemba 23 katika Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma