Video: Tembelea Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia ya Intaneti Duniani ya Wuzhen

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2023

Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia ya Intaneti Duniani ya Wuzhen, ambayo ni makumbusho kubwa ya kwanza duniani ya sayansi na teknolojia inayohusu intaneti limefunguliwa tarehe 7, Novemba. Kwenye jumba hilo kwa kupitia kuchangamana na kompyuta au njia nyigine inayoonekana, watembeleaji wanaweza kuona namna intaneti ya siku za baadaye inavyounganisha anga ya juu, anga, ardhi na bahari.

Jumba hilo lina maeneo sita ya maonesho, ambayo yanaonesha teknolojia muhimu za intaneti duniani, mambo muhimu na wahusika muhimu wa intaneti duniani, na kuelezea mchakato wa maendeleo ya intaneti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha