Waziri Mkuu wa China kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20

(CRI Online) Novemba 22, 2023

Msemaji wa Wiara ya Mambo ya Nje ya China Mao Ning ametangaza kuwa, kwa mujibu wa mwaliko wa serikali ya India, Waziri Mkuu wa China Li Qiang atahudhuria Mkutano wa Viongozi wa Kundi la 20 (G20) kwa njia ya video Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha