Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa kufanya ziara nchini China

(CRI Online) Novemba 24, 2023

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bi. Mao Ning amesema, kutokana na mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi, Waziri kwa ajili ya Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa Bi Catherine Colonna atafanya ziara nchini China Novemba 23 na 24 na kuhudhuria kikao cha sita cha utaratibu wa majadiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Ufaransa kuhusu mabadilishano kati ya watu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha