Shtusha sana! Takwimu hizi zaonyesha mabavu ya bunduki zinazotumiwa ovyo nchini  Marekani mwaka 2023

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2024

Mwaka 2023, mabavu ya bunduki yalifanyika mara kwa mara nchini Marekani, ambapo misiba ya vifo na majeruhi ilitokea bila kusita. Kwa mujibu wa takwimu za Tovuti ya Nyaraka za Matukio ya Mabavu ya Bunduki ya Marekani zimeonesha kuwa, matukio ya ufyatuaji risasi kwa watu wengi yaliyosababisha vifo na majeruhi ya zaidi ya watu wanne kila mara yamefikia 656 nchini Marekani mwaka 2023, na kwa jumla kusababisha watu 42,920 kuuawa katika matukio mbalimbali yanayohusika na bunduki.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha