

Lugha Nyingine
Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa yatangaza kufunga ubalozi wake nchini Niger
(CRI Online) Januari 04, 2024
Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa imetoa taarifa kuwa itafunga ubalozi wake nchini Niger.
Wizara hiyo imesema ubalozi huo utaendelea kufanya kazi husika mjini Paris na pia utadumisha mawasiliano na wafaransa nchini Niger na mashirika yasiyo ya kiserikali katika sekta ya misaada ya kibinadamu.
Mapinduzi ya kijeshi yalitokea nchini Niger mwezi Julai mwaka jana na Balozi wa Ufaransa nchini humo Sylvain Itte aliondoka mwezi Septemba mwaka huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma