Kampuni za China zawa na pilikapilika nyingi za uzalishaji ili kupata mwanzo mzuri wa mwaka mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2024

Fundi akitengeneza bidhaa za gitaa kwenye kampuni moja ya uzalishaji wa gitaa katika Mji Mdogo wa Yong’an ulioko Mji wa Zaozhuang, Mkoa wa Shandong, China, Januari 4. (Picha na Sun Zhongzhe/Xinua)

Huku mwaka mpya ukianza, kampuni za maeneo mbalimbali kote nchini China zinafanya kazi kwa juhudi kuzalisha bidhaa na kukidhi oda za wateja zikilenga kupata mwanzo mzuri katika robo ya kwanza ya Mwaka 2024.

Wafanyakazi wakifanya kazi kwa juhudi kumaliza oda za bidhaa za kuuzwa nje ya nchi kwenye karakana ya uzalishaji wa kutumia teknolojia za akili bandia ya kampuni moja ya nguo katika Wilaya ya Deqing iliyoko Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, China, Januari 4. (Picha na Wan Zheng/Xinua)

Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye karakana ya uzalishaji wa dawa ya kampuni moja ya dawa za kijadi za kichina katika Wilaya ya Neiqiu, Mkoa wa Hebei, China, Januari 4. (Picha na Liu Jidong/Xinua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha