Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya kutembelea China

(CRI Online) Januari 24, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin ametangaza kuwa, Mkuu wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Dkt. Musalia Mudavadi atafanya ziara rasmi nchini China kuanzia leo Jumatano tarehe 24 hadi 26 mwezi huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha