

Lugha Nyingine
Wang Yi asema China na Russia zimeanzisha uhusiano mpya wa kuigwa kati ya nchi kubwa
(CRI Online) Machi 07, 2024
Kwenye mkutano na waandishi wa habari wa mkutano wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China uliofanyika leo Alhamisi, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema China na Russia zimeanzisha uhusiano mpya wa kuigwa kati ya nchi kubwa ambao ni tofauti na ule wa wakati wa Vita Baridi.
Amesema nchi hizo mbili zitadumisha mfumo wa kimataifa ambao kiini chake ni Umoja wa Mataifa, ili kulinda usalama na utulivu wa kikanda na kimataifa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma