Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China lafanya kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa mwaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 10, 2024

Kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC)  kikifanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing,   Machi 9, 2024. (Xinhua/Wang Jianhua)

BEIJING - Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), ambacho ni chombo cha juu zaidi cha mashauriano ya kisiasa cha China, imefanya kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano wake mkuu wa pili wa mwaka unaoendelea siku ya Jumamosi ambapo Wang Huning, Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya baraza hilo alihudhuria.

Kwenye kikao hicho, wajumbe 14 wa Kamati ya Kitaifa ya CPPCC walitoa maoni na mapendekezo yao kuhusu mada mbalimbali zinazohusu maendeleo ya nchi ya China. Maofisa waandamizi kutoka Kamati Kuu ya CPC na Baraza la Serikali la China walialikwa kwenye kikao hicho na kusikiliza mapendekezo ya washauri wa kisiasa.

Miongoni mwao, Yang Yudong amesisitiza kuwa, wafanyakazi wa viwandani ni nguvu muhimu katika kuendeleza nguvukazi mpya yenye sifa bora ya juu. Ametoa wito wa kuendelezwa kwa elimu ya kazi ya ufundi na mfumo wa utoaji mafunzo ya kazi ya ufundi wa kiwango cha juu katika maisha yote ya wafanyakazi.

Pansy Ho Chiu-king amependekeza kuwa Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong unapaswa kutumia nguvu yake bora katika mambo ya fedha, biashara, sheria na hataza ili kutoa mchango kwa ajili ya kuanzisha utaratibu mpya wa kiwango cha juu cha maendeleo ya uchumi wa ufunguaji mlango wa China.

Zhang Zongzhen ametoa wito wa kuharakishwa kwa ujenzi wa Eneo la Ushirikiano wa Pande zote la Guangdong-Macao huko Hengqin, katika mji wa Zhuhai. Zhang amehimiza kufanya juhudi kubwa zaidi za kuboresha maisha ya watu na kuendeleza kwa kiasi cha kufaa shughuli za kiuchumi za aina mbalimbali katika Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao.

Fu Zhiguan amesema maoni ya watu wengi kisiwani Taiwan yanachagua amani, maendeleo, mawasiliano na ushirikiano, badala ya vita, mdororo wa uchumi, mafarakano na mapambano. Fu amesema njia mpya zinapaswa kuchunguzwa kwa ajili ya maendeleo jumuishi katika sekta zote za pande mbili za Mlango-Bahari wa Taiwan.

Huang Zhen amependekeza kuharakisha kuanzishwa kwa mfumo wa usimamizi wa kisheria ili kufikia malengo ya kilele cha utoaji wa hewa ya kaboni, na kusawazisha matumizi ya hewa ya kaboni na kuwawezesha wananchi na sekta ya viwanda kuwa na matarajio ya wazi juu ya maendeleo ya kijani.

Kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC)  kikifanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Pang Xinglei)

Leung Chun-ying akiongoza kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua /Huang Jingwen)

Wei Xiaodong, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Yang Yudong, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Zhoigar, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Chen Xingying, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Pansy Ho Chiu-king, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Yanjue, Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) akizungumza katika kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha