Hafla ya uzinduzi wa “ Siku ya Matumizi ya 33” ya 2024 ya Guangxi na shughuli za utaagazaji wa bidhaa za Guangxi zafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 27, 2024

Tarehe 28 Machi, hafla ya “Siku ya Matumizi ya 33” ya 2024 ya Guangxi na shughuli za utangazaji wa bidhaa za Guangxi zimefanyika Beijing, hafla hiyo iliandaliwa na Serikali ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi na kuendeshwa pamoja na Ofisi kuu ya Biashara ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kampuni ya China UnionPay, Ofisi ya Beijing ya Serikali ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi,Kampuni ya People's Daily Online, na Kampuni ya Utalii na Maendeleo ya Guangxi.

Shughuli hizo zenye mada ya "Wakati wa Tarehe 3,Machi kwa kalenda ya kilimo ya China,Chagua bidhaa nzuri za Guangxi", zinafuatiliwa zaidi kwa kupandishwa ngazi kwa sifa ya matumizi ya watu na urahisi wa matumizi, na kuongezwa hisia za matumizi; na kufuatiliwa kwa viwanda muhimu vya Guangxi kama vile chai, magari na mvinyo na kutangaza chapa za bidhaa za Guangxi zenye historia ndefu.

Shughuli hizo zimetangazwa moja kwa moja kwenye akaunti ya Douyin na akaunti ya video ya Wechat ya People's Daily Online.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha