Rais Xi Jinping atoa amri ya kuwapandisha vyeo maofisa wa jeshi hadi kuwa majenerali na kuwapongeza

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 29, 2024

Tarehe 28, Machi, hafla ya kupandisha cheo cha maafisa wa kijeshi hadi cheo cha Jenerali ilifanyika katika Jengo la Ba Yi hapa Beijing. Xi Jinping, Rais wa China ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya Chama (CMC) alihudhuria kwenye hafla hiyo. Rais Xi Jinping na viongozi wengine  wakipiga picha pamoja na maofisa wa kijeshi ambao wamepandishwa vyeo vyao kuwa majenerali.

(Xinhua/Picha na Li Gang)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha