Rais Xi aongoza kongamano la Zama Mpya Kuhimiza Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2024

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la  Zama Mpya Kusukuma Mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China  huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Ju Peng)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la Zama Mpya Kusukuma Mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Ju Peng)

CHONGQING - Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) siku ya Jumanne wakati akiongoza kongamano la Zama Mpya Kusukuma Mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China huko Chongqing, amesisitiza kutekeleza kithabiti hatua mpya za maendeleo makubwa ya eneo hilo tangu mwanzo hadi mwisho, na kufanya juhudi zaidi za kuunda muundo mpya wa kuhifadhi mazingira kwa nguvu kubwa, kufungua zaidi mlango, kupata maendeleo ya sifa bora, na kuongeza uwezo wa kupata maendeleo endelevu katika eneo hilo zima, ili kufungua ukurasa mpya wa maendeleo makubwa ya eneo la magharibi katika ujenzi wa mambo ya kisasa ya China.

Eneo la magharibi la China limepata mafanikio makubwa katika uhifadhi na urejeshaji wa mazingira ya ikolojia katika miaka mitano iliyopita, lakini maendeleo ya eneo hilo bado yanakabiliwa na matatizo na changamoto, Rais Xi amesema.

Rais Xi amesisitiza kuwa, ni lazima kushikilia lengo kuu la kuendeleza viwanda vya uzalishaji bidhaa zenye ubora pekee za eneo hilo, kutumia mkakati mahsusi wa eneo hilo katika kuendeleza viwanda vinavyoibukia na kuharakisha mageuzi na uboreshaji wa viwanda katika eneo hilo.

Amesisitiza umuhimu wa kuimarisha mafungamano kati ya uvumbuzi wa kisayansi na kitekolojia na uvumbuzi wa viwanda, na kufanya juhudi kubwa za kupata mafanikio katika teknolojia nyingi muhimu katika nyanja muhimu.

“Hatua zinapaswa kuchukuliwa ili kuharakisha uboreshaji wa kiteknolojia wa viwanda vya jadi, kuhimiza kazi ya kubadilisha upya zana na vifaa katika viwanda vikubwa, na kuhimiza kuinua ngazi ya viwanda vya jadi vya uzalishaji bidhaa zenye ubora wa kipekee, ili bidhaa zao ziongeze sifa bora na kupata ufanisi zaidi.

Rais Xi amesisitiza kuendeleza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora kulingana na hali halisi ya eneo hilo, kutafuta namna ya kuendeleza viwanda vya kisasa na viwanda vya kimkakati vinavyoibuka, na kupanga mipango ya kuendeleza viwanda vya siku za baadaye ili kujenga vichocheo vipya vya ukuaji wa uchumi wa eneo hilo.

Amesisitiza umuhimu wa ulinzi wa kiwango cha juu wa ikolojia katika kudumisha maendeleo ya sifa bora, ili kulinda kithabiti usalama wa ikolojia wa nchi ya China.

Rais Xi amesisitiza ni lazima kushikilia kufungua mlango kwa kusukuma mbele maendeleo makubwa ya eneo la magharibi, na kupanua ufunguaji mlango wa eneo la magharibi ndani na nje ya nchi.

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la  Zama Mpya Kusukuma mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la Zama Mpya Kusukuma mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la  Zama Mpya Kusukuma Mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China k huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akiongoza kongamano la Zama Mpya Kusukuma Mbele Maendeleo Makubwa ya Eneo la Magharibi la China huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 23, 2024. (Xinhua/Wang Ye)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha