Marais wa China na Tanzania wapeana salamu za pongezi kwa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 26, 2024

BEIJING - Rais Xi Jinping wa China na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania leo Ijumaa wamepeana salamu za pongezi kwa kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha