Kufunua sababu za “urafiki kama chuma” kati ya China na Serbia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2024

“Kwa heri Bella,” ambao ni wimbo katika filamu ya “Daraja (The Bridge)” ya Yugoslavia, hadi sasa wimbo huu bado unaimbwa na watu nchini China, na unapendwa sana na Wachina.

Urafiki kati ya China na Serbia umedumu kwa karibu miaka 70.

Basi ni nini iliyoufanya urafiki huo uwe wa kithabiti na kudumu ?

Hebu tuende pamoja katika Serbia na kujionea hali ya urafiki huo wa kudumu kati ya nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha