Manowari Fujian ya China yakamilisha majaribio ya kwanza baharini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 09, 2024

Saa tisa mchana ya Mei 8, Manowari ya tatu ya kubeba ndege ya China, Manwoari Fujian imekamilisha majaribio ya kwanza baharini kwa siku nane na kurudi bandari ya kiwanda cha Uzalishaji wa Meli cha Jiangnan huko Shanghai.

IMG_256

Manowari Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza ya baharini(picha iliyopigwa Mei 7 na droni). (Mpiga picha:Ding Ziyu/Xinhua)

Wakati wa majaribio hayo, Manowari ya Fujian ilimaliza majaribio ya mifumo ya injini na ya umeme na vifaa vingine, na kupata matokeo yaliyotarajiwa. Katika hatua inayofuata, manowari hiyo itaendelea na majaribio mengine kulingana na mipango iliyowekwa.

IMG_257

 Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni). (Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)

IMG_258

 Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni). (Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)

IMG_259

Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 1 na droni).(Mpiga picha:Pu Haiyang/Xinhua)

IMG_260

Manowari ya Fujian ya Jeshi la baharini la China ikifanya majaribio ya kwanza baharini(picha iliyopigwa Mei 3 na droni).(Mpiga picha:Li Yun/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha