Maonyesho ya usafiri ya "Sisi ni Africa" lafanyika Cape Town, Afrika Kusini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 09, 2024

Washiriki wakizungumza wakati wa Maonyesho ya usafiri ya "Sisi ni Afrika" huko Cape Town, Afrika Kusini, Mei 7, 2024. Maonyesho ya kila mwaka ya "Sisi ni Afrika" yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Cape Town kuanzia Mei 6 hadi Mei 9. (Picha na Xabiso Mkhabela/Xinhua)

Watu wakishiriki kwenye Maonyesho ya usafiri ya "Sisi ni Afrika" huko Cape Town, Afrika Kusini, Mei 7, 2024. Maonyesho ya kila mwaka ya "Sisi ni Afrika" yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Cape Town kuanzia Mei 6 hadi Mei 9. (Picha na Xabiso Mkhabela/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha