Wakulima wa Madagascar wakivuna mpunga kwenye shamba la kielelezo la Mpunga Chotara

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024

Tarehe 8, Mei, 2024, wakulima wakivuna mpunga kwenye shamba la kielelezo cha mpunga chotara wenye mazao makubwa huko Mahitsy, Madagascar.

Tarehe 8, Mei, 2024, wakulima wakivuna mpunga kwenye shamba la kielelezo cha mpunga chotara wenye mazao makubwa huko Mahitsy, Madagascar.

Ili kuzisaidia nchi nyingi zaidi za Afrika kuondoa upungufu wa chakula, Taasisi ya Mpunga Chotara ya China ilianzisha tawi lake la Afrika nchini Madagascar mwezi Mei, 2019. Kwa kutumia teknolojia kutoka China, wastani wa mazao ya mpunga chotara yaliyozalishwa Madagascar umefikia mara mbili hadi tatu kuliko yale ya mpunga wa kienyeji huko. (Picha na Sitraka Rajaonarison/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha