Kubadilisha njia za mbio wakimbia mbio mzuri

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2024

Mei 19, Mashindano mfululizo ya kwanza ya Marathon ya Wafanyakazi wa China (Mbio Nusu za Marathon za Rizhao) yalianza Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong! Wafanyakazi na watu wa mifano ya kuigwa kutoka sekta mbalimbali walikusanyika huko Rizhao.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha