Kuwekeza Henan, China: Biashara ya Urembo ya “Kichwani” inayostawi huko Henan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 17, 2024

Takwimu zinaonesha kuwa, mawigi sita kati ya kila mawigi kumi ya nywele yanatoka Xuchang, Mkoa wa Henan wa China, ambao pia unajulikana kwa jina la “Mji Mkuu wa Mawigi Duniani.” Mawigi yanayozalishwa na Kampuni inayojulikana sana ya Rebecca siyo tu ni maarufu sana nchini China, bali pia katika masoko ya nje ya China, hasa katika mabara ya Amerika na Afrika. Hebu jionee mawigi hayo mazuri ya nywele pamoja na timu ya utafiti ya wanahabari wa People's Daily Online huko Henan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha