Rais wa China ahudhuria mkutano wa SCO+ huko Astana na kutoa hotuba muhimu

(CRI Online) Julai 05, 2024

Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa cha “Kufanya Kazi Pamoja Kujenga Nyumba Bora Zaidi ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai” aliposhiriki kwenye Mkutano uliopanuliwa wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO+) huko Astana, Kazakhstan, tarehe 4, Julai. (Picha na Pang Xinglei/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai+ (SCO+) huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan, na kutoa hotuba muhimu iitwayo “Kufanya Kazi Pamoja Kujenga Nyumba Bora Zaidi ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai”.

Katika hotuba hiyo, Rais Xi amesema, hivi sasa mabadiliko katika dunia, nyakati na katika historia yanajitokeza kwa njia isiyo kawaida, hivyo ni muhimu kuimarisha wazo la kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja, kufuata bila kuyumbayumba njia ya maendeleo inayoendana na hali halisi ya nchi na ya kanda, na kujenga kwa pamoja nyumba bora ya SCO, ili kwamba watu wa nchi mbalimbali waweze kuishi kwa amani, kufanya kazi na kuwa na furaha na ustawi.

Rais Xi ametoa mapendekezo matano, ambayo ni kwanza, kujenga nyumba ya pamoja yenye mshikamano na kuaminiana, pili, kujenga nyumba ya pamoja yenye amani na utulivu, tatu, kujenga nyumba ya pamoja yenye ustawi na maendeleo, nne, kujenga nyumba ya pamoja yenye ujirani mwema na urafiki, na tano, kujenga nyumba ya pamoja yenye haki na usawa.

Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa cha “Kufanya Kazi Pamoja Kujenga Nyumba Bora Zaidi ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai” aliposhiriki kwenye Mkutano uliopanuliwa wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO+) huko Astana, Kazakhstan, tarehe 4, Julai. (Picha na Pang Xinglei/Xinhua)

Rais Xi Jinping wa China akitoa hotuba muhimu yenye kichwa cha “Kufanya Kazi Pamoja Kujenga Nyumba Bora Zaidi ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai” aliposhiriki kwenye Mkutano uliopanuliwa wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO+) huko Astana, Kazakhstan, tarehe 4, Julai. (Picha na Pang Xinglei/Xinhua)

Xi Jinping akishiriki hafla ya kukaribisha viongozi wa ujumbe wa wawakilishi iliyoandaliwa na Rais Kassym-Jomart Tokayev wa Kazakhstan na kupiga picha ya pamoja na washiriki wengine kabla ya mkutano wa SCO+. (Picha na Ju Peng/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha