Ripoti ya Jumuiya ya Washauri Mabingwa kuhusu mafanikio na mchango wa mageuzi ya China yachapishwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024

Picha hii iliyopigwa Agosti 6, 2024 ikionyesha hali ya kongamano lenye mada ya kuelewa mkutano mkuu wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China. (Xinhua/Cai Yang)

BEIJING - Kwenye kongamano lililofanyika Jumanne Beijing, imetolewa kwa Ripoti ya "Kuendeleza Mageuzi kwa kina na Kuhimiza Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China: Mafanikio Makubwa na Mchango Mkubwa kwa Dunia", ambayo inafuatilia zaidi mafanikio yaliyopatikana katika mageuzi ya China na mchango kwa Dunia katika zama mpya.

Ripoti hiyo imetolewa kwa pamoja kwa Lugha za Kichina na Kiingereza na jumuiya ya washauri mabingwa chini ya Taasisi ya Historia ya Chama na Maandishi ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Shirika la Habari la China, Xinhua.

Ripoti hiyo imefanya majumuisho kuhusu mafanikio makubwa, kanuni za kimsingi na mchango kwa Dunia katika juhudi za CPC za kuendeleza mageuzi kwa kina na kuhimiza ujenzi wa mambo ya kisasa wa China katika zama mpya.

Akihutubia katika kongamano hilo, Mkuu wa Taasisi ya Historia ya Chama na Maandishi ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Jumuiya ya Washauri Mabingwa ya taasisi hiyo, amesema kuwa ujenzi wa mambo ya kisasa wa China unaendelea siku hadi siku katika mageuzi na ufunguaji mlango na hakika utaonesha mustakabali wake mpana katika mageuzi na ufunguaji mlango.

Amesema kuwa kujenga uchumi wa soko huria la kijamaa kwa vigezo vya juu na kusukuma mbele maendeleo ya sifa bora ya uchumi ni muhimu kwa kuendeleza mageuzi kwa kina.

Pia amesisitiza umuhimu wa kuongeza uwezo wa kufungua mlango huku kukiwa na kupanua ushirikiano na nchi nyingine.

Kwenye kongamano hilo, washiriki walifanya majadiliano juu ya mada mbalimbali kuhusu kuendeleza mageuzi kwa kina ili kuhimiza ujenzi wa mambo ya kisasa wa China, kuendeleza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora, na kuendeleza ufunguaji mlango wa kiwango cha juu.

Qu Qingshan, Mkuu wa Taasisi ya Historia ya Chama na Maandishi ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati ya kitaifa ya Jumuiya ya washauri mabingwa ya taasisi hiyoakitoa hotuba kwenye kongamano lenye mada ya kuelewa mkutano mkuu wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China. (Xinhua/Jin Liwang)

Qu Qingshan, Mkuu wa Taasisi ya Historia ya Chama na Maandishi ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati ya kitaifa ya Jumuiya ya washauri mabingwa ya taasisi hiyo akitoa hotuba kwenye kongamano lenye mada ya kuelewa mkutano mkuu wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China. (Xinhua/Jin Liwang)

Fu Hua, Mkuu wa Shirika la Habari la China, Xinhua ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya  taaluma ya Taasisi ya Xinhua, ambayo ni Jumuiya ya washauri mabingwa ya Shirika la Habari la China, Xinhua, akitoa hotuba kwenye kongamano lenye mada ya kuelewa mkutano mkuu wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China. (Xinhua/Jin Liwang)

Mhudhuriaji akisoma ripoti iliyotolewa kwenye kongamano lenye mada ya kuelewa mkutano mkuu wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China. (Xinhua/Jin Liwang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha