Video: Mandhari Nzuri ya China kama picha ya kuchorwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2024

Bahari ya maua ya Mlima Tianshan, mandhari ya kipekee ya ardhi ya Danxia katika Zhangye, Ziwa Tianchi kwenye Mlima Changbai, mashamba ya ngazi ya Ziquejie kwenye miinuko ya milimani...... Kufanya utalii China, kuperuzi kwenye picha za kuchorwa, mandhari hii ya kupendeza ya China “ya kama picha za kuchora” ipo katikati ya Milima ya kijani na mito safi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha