

Lugha Nyingine
Mke wa Rais wa China Bi.Peng Liyuan azungumza na mke wa rais wa Vietnam
(CRI Online) Agosti 20, 2024
Mke wa Rais Xi Jinping wa China, Bi. Peng Liyuan, jana hapa Beijing alifanya mazungumzo na mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Ngo Phuong Ly.
Bi. Peng alisema China na Vietnam ni nchi jirani na urafiki zilizounganishwa kwa milima na mito, na pia zina uhusiano wa kitamaduni katika nyanja za fasihi, sanaa na vyakula. Pia amezitaka pande hizo mbili kuimarisha mawasiliano na ushirikiano, kuongeza maelewano na kuhimiza maendeleo ya urafiki kati ya pande hizo mbili.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma