Xi Jinping atoa hotuba muhimu kwenye kongamano la kumbukumbu za miaka 120 tangu azaliwe Komredi Deng Xiaoping

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2024

Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imefanya kongamano la kumbukumbu za miaka 120 tangu azaliwe Komredi Deng Xiaoping. Xi Jinping, Zhao Leji, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi, na Han Zheng wameshiriki kwenye kongamano hilo. (Picha iliyopigwa na Yan Yan wa Shirika la Habari la China Xinhua)

Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imefanya kongamano la kumbukumbu za miaka 120 tangu azaliwe Komredi Deng Xiaoping. Katibu mkuu wa Kamati kuu ya Chama ambaye pia ni rais wa China na mwenyekiti wa Kamati kuu ya kijeshi Xi Jinping alitoa hotuba muhimu. ( Picha ilipigwa na Ju Peng wa Shirika la Habari la China Xinhua)

Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imefanya kongamano la kumbukumbu za miaka 120 tangu azaliwe Komredi Deng Xiaoping. Xi Jinping, Zhao Leji, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi, na Han Zheng wameshiriki kwenye kongamano hilo. (Picha iliyopigwa na Xie Huanchi wa Shirika la Habari la China Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha