Marais wa China, Tanzania na Zambia washuhudia hafla ya utiaji saini Makubaliano ya kustawisha njia ya reli ya TAZARA

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2024

(Xinhua/Zhai Jianlan)

(Xinhua/Zhai Jianlan)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema leo asubuhi kwa pamoja wameshuhudia hafla ya utiaji saini makubaliano ya maelewano (MoU) kuhusu mradi wa kustawisha njia ya reli ya TAZARA.

Marais Samia na Hichilema wako Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha