Xi akutana na waziri mkuu wa Ethiopia

(CRI Online) Septemba 05, 2024

(Xinhua/Yin Bogu)

(Xinhua/Yin Bogu)

Rais Xi Jinping wa China tarehe 4 amekutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha