Ndani ya kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Kilele wa FOCAC: Mambo ya Teknolojia yanakutana na ya kijadi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2024

Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Beijing wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mjini Beijing. Moja ya kumbi za mkutano huo, Kituo cha Kitaifa cha Mikutano cha China kinatoa Eneo la Uonyeshaji wa Mwingiliano wa Teknolojia na Utamaduni, likiwapa waandishi wa habari, wote wa China na wale wa kigeni, teknolojia changamani na kujionea urithi wa kitamaduni usioshikika. Fuatana na waandishi wa habari wa People's Daily Online na litazame eneo hilo pamoja nao!

(Picha ilichukuliwa kutoka video)

(Picha ilichukuliwa kutoka video)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha