China na nchi za Afrika zadhamiria kuimarisha ushirikiano wa sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024

Mkutano kuhusu ushirikiano wa sifa bora  wa Ukanda Mmoja, Njia Moja wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ukifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kitaifa cha China mjini Beijing, China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

BEIJING - China na nchi za Afrika zitaimarisha ushirikiano wao wenye sifa bora chini ya Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, wamesema wajumbe wa mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unaoendelea.

Mkutano huo uliojikita katika ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, uliongozwa na Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang na Rais wa Kenya William Ruto.

Akihutubia mkutano huo, Ding, ambaye pia mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, amesema Afrika ni mwenzi muhimu katika ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na kwamba kwa kuimarisha muunganisho wa kimkakati na kuongeza ushirikiano wenye matokeo halisi, China na Afrika zimepata matokeo makubwa.

Ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja kati ya China na Afrika umeonyesha manufaa ya wazi yanayoshabihiana na mustakabali mzuri wa ushirikiano, Ding amesema, huku akiongza kuwa China ingependa kushirikiana na Afrika kuweka kigezo kwa ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, na kuleta manufaa zaidi halisi kwa watu wa pande zote mbili.

Viongozi na wawakilishi wa Afrika waliohudhuria mkutano huo wamesema wanatazamia kuimarisha kuunganisha zaidi mkakati wao na China, kuzidisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali, na kuendeleza kwa kasi ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja kufikia kwenye kiwango kipya.

Wawakilishi takriban 350 kutoka China, nchi za Afrika na mashirika ya kikanda walihudhuria mkutano huo. 

Mkutano kuhusu ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ukifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kitaifa cha China mjini Beijing, China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, akihutubia kwenye mkutano kuhusu ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika Kituo cha Mikutano cha Kitaifa cha China mjini Beijing, China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

Rais wa Kenya, William Ruto akihutubia mkutano kuhusu ushirikiano wenye sifa bora wa Ukanda Mmoja, Njia Moja wa Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika Kituo cha Mikutano cha Kitaifa cha China mjini Beijing, China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Li Xiang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha