Rais Xi Jinping akutana na Rais wa Somalia

(CRI Online) Septemba 07, 2024

(Xinhua/Ding Lin)

(Xinhua/Ding Lin)

Rais Xi Jinping wa China amekutana na mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud siku ya Ijumaa ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).

Viongozi hao wawili wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano kati ya China na Somalia kuwa uhusiano wa washirika wa kimkakati.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha