UNESCO yatoa tuzo ya elimu ya mabinti na wanawake ya Mwaka 2024 kwa mashirika kutoka Uganda na Zambia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024

Picha hii iliyopigwa Oktoba 16, 2024 ikionyesha hafla ya Utoaji Tuzo ya Elimu ya Mabinti na Wanawake Mwaka 2024 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), huko Paris, Ufaransa. (Xinhua/Gao Jing)

Mashirika mawili kutoka Uganda na Zambia yametunukiwa Tuzo ya Elimu ya Mabinti na Wanawake Mwaka 2024 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO). Tuzo hiyo iliyoanzishwa na China kwa ushirikiano na UNESCO, ndiyo tuzo pekee ya shirika hilo kwa kuhimiza elimu ya mabinti na wanawake. Tuzo hiyo imeonesha umuhimu mkubwa katika kueneza dhana ya usawa wa kijinsia katika elimu na uzoefu mzuri husika na kutekeleza usawa wa kijinsia kama kipaumbele kote duniani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha