“Uchumi wa anga ya chini” wafuatiliwa kwenye Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
“Uchumi wa anga ya chini” wafuatiliwa kwenye Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China
Mfano halisi wa sehemu ya kubeba abiria ya helikopta ya VE25-100, ambao unaonyeshwa hadharani kwa mara ya kwanza, umevutia watu kwenye bandala Kampuni ya Volant katika Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE), Novemba 5, Mwaka 2024. (Picha kutoka vip.people.com.cn)

Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa kutoka nje ya China yalifunguliwa mjini Shanghai, tarehe 5 Novemba, Mwaka 2024.Wakati huu, kampuni za usafiri wa anga ya chini kama vile Volante, TCab Tech, na VERTAXI kwa pamoja zilionekana katika eneo maalum la "Usafiri wa Anga ya Chini wa Siku za Baadaye" lililowekwa kwenye maonyesho hayo na kuvutia watu wengi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha