Mwandishi wa habari ajaribu teknolojia ya kisasa kwenye CIIE

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2024

Ukicheza chesi na roboti ya AI, utaweza kushinda? Ukivaa miwani ya kisasa ya michezo wakati wa kupanda baiskeli, unaona mandhari gani tofauti?

Katika eneo la kujaribu teknolojia ya akili bandia, mwandishi wa habari wa People’s Daily Online alijaribu uwezekano unaoletwa na teknolojia hizi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha