

Lugha Nyingine
Rais Xi atuma salamu za pongezi kwa maadhimisho ya kutimia miaka mia moja tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Sun Yat-sen
(CRI Online) Novemba 13, 2024
Rais Xi Jinping wa China ametuma barua ya pongezi kwa maadhimisho ya kutimia miaka mia moja tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Sun Yat-sen cha China siku ya Jumanne.
Rais Xi amehimiza chuo kikuu hicho kuoanisha maendeleo yake na mikakati mikuu ya kitaifa na mahitaji ya maendeleo ya Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma