Lugha Nyingine
Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya China Waitazama Shenzhen: Kung’arisha Mji wa Siku za Baadaye” kwa Kutumia Teknolojia
Mbwa roboti, droni, roboti za upasuaji… bidhaa hizi zinazoashiria teknolojia za kisasa daima zinaendana kwa usahihi na haiba na hali halisi ya kimjini ya Mji wa Shenzhen, China. Katika mji huu wa Shenzhen, inaonekana kuwa teknolojia yoyote ya kisasa inapoletwa inaweza kugeuzwa kuwa bidhaa. “Kasi ya Shenzhen”tayari imeshaishangaza dunia.
Hivi karibuni, kundi la utafiti la “Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya China la Kuitazama Shenzhen” lilitembelea Shenzhen, likatembea katika mji huu wa sayansi, teknolojia na ubunifu, na kujionea“jeni za teknolojia” zilizomo ndani ya mji huu wa kisayansi.
Taihe, Jiangxi, China: Ujenzi wa Daraja la Chengjiang waendelea kwa kasi
Mawimbi ya Baridi Kali Yaikumba China, Maeneo Mengi Yashuhudia Kuanguka kwa Theluji
Theluji yaanguka kwa mara ya kwanza mwaka huu kwenye Milima Emei, China
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa Kundi la 20 (G20) kufanyika Rio de Janeiro
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma