Nasherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China nchini China | Jamaa Kutoka Tanzania atayarisha zawadi za Mwaka Mpya kwa familia yake na kuvutiwa na utamaduni wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2025

Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, supamaketi tayari zimepambwa kwa taa za kijadi, na hali ya shamrashamra ya kusherehekea Sikukuu inaonekana vilivyo huko.

Aris kutoka Tanzania amekuwa akiishi China kwa miaka mingi. Kila Mwaka Mpya wa Jadi wa China unapowadia, huwa anachagua kwa uangalifu bidhaa za Mwaka Mpya na kuandaa zawadi za Sikukuu kwa familia yake. Mwaka huu hauna tofauti. Ameingia tena kwenye supamaketi na kuchagua bidhaa anazopenda zaidi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Hebu tuangalie amepata nini!

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha