

Lugha Nyingine
Video: Kutembelea mtaa wa Qilou mjini Wuzhou, China pamoja na jamaa Mhispania
By Zhou Linjia, Su Yingxiang, Alvaro Lago (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 26, 2025
Mtaa wa Qilou uliopo Mji wa Wuzhou, China unajulikana kama “Mtaa wa Qilou wa China”. Una barabara 22 za watembea kwa miguu zenye urefu wa jumla wa kilomita 7 na majengo 560 ya kipekee ya Qilou.
Novemba mwaka jana mtaa huo uliokarabaratiwa upya ulifunguliwa tena kwa umma, ukivutia wakazi na watalii wengi kwenda kutazama uzuri wake uliodumu kwa zaidi ya miaka 100.
Ambatana nasi, ufuate hatua za jamaa Mhispania Alvaro Lago, kutembelea mtaa huo mkongwe wa Qilou, na kuonja chakula kitamu cha kusini mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma