Vizuri Sana! Jamaa Mhispania atengeneza vito mjini Wuzhou, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2025

Angalau vito 7 vinavyotengenezwa na binadamu kati ya kila vito hivyo 10 duniani vinatoka katika Mji wa Wuzhou, China. Mji huo mdogo katika Mkoa wa Guangxi, China unajulikana duniani kwa vito hivyo vinavyotengenezwa na binadamu, na unajulikana kama "Mji Mkuu wa Vito Vinavyotengenezwa na Binadamu Duniani". Kila mwaka, vito hivyo zaidi ya bilioni 100 huchakatwa, kusafirishwa na kuuzwa hapa. Je, vito hivyo vinatengenezwaje na binadamu? Karibu na fuata kamera ya jamaa Mhispania Alvaro Lago, kujua vinavyotengenezwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha