Onja ladha ya kijadi ya chai ya asubuhi ya Wuzhou, China pamoja na jamaa Mhispania

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2025

Kuonja chai ya asubuhi katika mkahawa wa maziwa ya soya wa Bingquan wa Wuzhou kumekuwa chaguo la kwanza kwa watalii wengi wanaosafiri mji huo nchini China.

Maziwa ya soya ya mkahawa huo hupikwa kwa stadi za jadi za kuchujwa kwa mikono na binadamu na kuchemshwa kwa moto wa kuni, na mbinu hizo za upikaji wake zimeorodheshwa kwenye orodha ya miradi wakilishi ya urithi wa utamaduni usioshikika ya Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, China. Karibu na fuata kamera ya jamaa Mhispania Alvaro Lago, kutazama stadi hizo za maziwa ya soya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha