

Lugha Nyingine
Mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China awatembelea wajumbe wa waandishi wa habari
Wang Huning, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), akiwatembelea wajumbe wa waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Xie Huanchi)
BEIJING - Wang Huning, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) amewatembelea wajumbe wa waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC uliomaizika jana Jumatatu mjini Beijing.
Wang, ametoa salamu kwa waandishi wa habari.
Amepongeza mchango uliotolewa na vyombo vya habari na waandishi wa habari katika kufanikisha mkutano huo wa mwaka. Ameelezea matumaini yake kwamba vyombo vya habari vitafuatilia siku zote na kuendelea kuunga mkono Baraza la Mashauriano ya Kisisasa.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma